Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

England miaka yote wanacheza hivi hivi, hawana lolote bora wapigwe bao tu hawa mashoga siwapendi japo naipenda ligi yao
 
England bora wafungwe tu wakapigane na polisi vizuri huko mitaani. Wako Bodeux, ni mji mzuri kuna warembo wa hatari lakini hawa pombe wanaleta fujo. Bora watolewe tu

Na Bordeaux panatengenezwa mvinyo safi sana tangu karne ya 8!

Ila England wapo mji wa Marseille.

Hakika mkuu,

Ngoja tumuangalie kipindi hiki cha pili huenda akawa na lolote la kujirekebisa, Ila yote kwa yote, BIG RESULTS NOW ni kumuingiza Rashford.

BACK TANGANYIKA
 
kwa long pass ambazo anapiga rooney leo ni kama namuangalia paul scholes...jamaa middlefield kaikamata kweli kweli sema uingereza hawana solid DM pale katikati, pia washambuliaji hawajajielewa bado wanafanya errors za kitoto sana
 
Hakika mkuu,

Ngoja tumuangalie kipindi hiki cha pili huenda akawa na lolote la kujirekebisa, Ila yote kwa yote, BIG RESULTS NOW ni kumuingiza Rashford.

BACK TANGANYIKA

Kwa mujibu wa Opta Index, data zinaonyesha kwamba Wayne Rooney ametoa pasi 39 na kati ya hizo pasi 10 ni zaidi ya mchezaji yoyote yule wa Russia.

Ni pasi mbili tu ndizo alizopoteza zenye rangi nyekundu.
 
Dakika zimekwenda 60 goli ni 0-0 na Roy Hodgson anafikiria kufanya mabadiliko.
 
Kwa mujibu wa Opta Index, data zinaonyesha kwamba Wayne Rooney ametoa pasi 39 na kati ya hizo pasi 10 ni zaidi ya mchezaji yoyote yule wa Russia.

Ni pasi mbili tu ndizo alizopoteza zenye rangi nyekundu.

Mpira magoli jombaa. Hawawezi kuchukua kombe kwa kupiga pasi nyingi. Si unaona ngoma inawalalia hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…