Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Italia mpaka sasa wanacheza kwa Umoja Mabeki wamejipanga inavyotakiwa wakikosea ndio watafungwa ila mpaka sasa Upenyo hakuna .
 
Goli la Naingolan hili. Kasimama Tu pale na kiduku chake hajui kama haya Ni mashindano ya EURO mechi moja Tu inaweza kukurudisha nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…