Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Zimebakia dakika 14 mpira uishe na Germany wanaonekana hawana wasiwasi na kazi wanayoifanya.

Germany wanamtoa Julian Draxler na anaingia Andre Schurrle
 
d54310a3-1b6a-42ad-ade0-e89d408e43ba.jpg

Mario Gotze akifanya mtihani wake jinsi ya kuwatoka watu wanaokuzunguka hata wakiwa wanne.
 
Joachim Low anamtoa Gotze na mkongwe Bastian Schweinsteiger anaingia kusawazisha mambo.

8ad7267a-de60-4d08-91c7-4ed1568f9f45.jpg

Master and apprentice- Mario Gotze alotoka kumpisha mkongwe amuonyshe jinzi gani unatakiwa ucheze.
 
germany na italy hawa watu hawatabiriki kabisaa

Kwenye mashindai haya Italy imetoa sare mara 15 kuliko timu yoyote ile barani Ulaya.

Pia wametoa sare ya 0-0 mara nane.

Ni timu inayocheza kwa mtindo wa kujihami zaidi,

Ikumbukwe mwezi November mwaka jana Italy ilifungwa na Belgium magoli 3-1

Jumatatu Italy wanaweza kuanza na mabeki wa pembeni Antonio Candreva na Stephan El Shaarawy ambao hupenda kupanda mbele kusaidia mashambulizi.

Wachezaji wa kiungo Riccardo Montolivo, Claudio Marchisio na Marco Verratti wote ni majeruhi na wameachwa nyumbani.

Pia safari hii mkongwe Andrea Pirlo hayupo.

Tusubiri mechi yake ys kesho ya Belgium tuone kabumbu.
 
Belgium mwaka huu Wako sawa sio kitoto, Italy mi naona Bora wapaki trekta kabisa maana bus halitoshi.
 
MBONA URENO HAZUNGUMZIWI AU KIKOSI KIBOVU NAONA SPAIN,GERMANY,FRANCE NA BELGIUM TU ?
 
Hawa Spain goalman wao ndio Morata? Mzee wa tap-in naona anastruggle Tu hapa
 
Kweli nguvu kitu cha kwisha
Spain HAWEZI TETEA kombe lake
Kiwango kibovu sana hiki
 
Back
Top Bottom