Kwenye mashindai haya Italy imetoa sare mara 15 kuliko timu yoyote ile barani Ulaya.
Pia wametoa sare ya 0-0 mara nane.
Ni timu inayocheza kwa mtindo wa kujihami zaidi,
Ikumbukwe mwezi November mwaka jana Italy ilifungwa na Belgium magoli 3-1
Jumatatu Italy wanaweza kuanza na mabeki wa pembeni Antonio Candreva na Stephan El Shaarawy ambao hupenda kupanda mbele kusaidia mashambulizi.
Wachezaji wa kiungo Riccardo Montolivo, Claudio Marchisio na Marco Verratti wote ni majeruhi na wameachwa nyumbani.
Pia safari hii mkongwe Andrea Pirlo hayupo.
Tusubiri mechi yake ys kesho ya Belgium tuone kabumbu.