Ila walifuzu mbele ya uholanzi mbona cape verde n wachache kuliko sie Tanzania ila kwny viwango vya fifa wapo top 5 upande wa afrika so wingi wa watu sio ndo ubora wa timuKwan Iceland nayo timu??nchini kwao hawafiki hata laki 5
Nimecheka vibaya sana Sawa na Kusubiri Umeme wa Tanesco uwake... atatizama Highlight na kuiamulia kama ni Live game.Mkuu endelea kusubiri tu huenda wakajiunga mda simrefu teh teh teh !!!
Kasoro mmoja tu#Iceland majina yote mwshoni #Son what a secret behind??
Hata hilo moja limeishiwa na Sen ila limeandikwa kimakosa ila ni sonKasoro mmoja tu
Basi nipe full jina. Halafu yule amecheza Chelsea na Barcelona kama sijakoseaHata hilo moja limeishiwa na Sen ila limeandikwa kimakosa ila ni son
Anaitwa Eiður SmáriBasi nipe full jina. Halafu yule amecheza Chelsea na Barcelona kama sijakosea
Hadi spur kacheza huyoAnaitwa Eiður Smári
Guðjohnsen Nafikir atakuwa kapitia hizo timu sababu ni mchezaj mzee ana miaka 37
Sasa si astaafu au anawapa hamasa vijanaHadi spur kacheza huyo
Hahah alicheza timu ya taifa na baba yake huyo. Jina lake mwisho ni sen maana nimesearch imekuja hivyoSasa si astaafu au anawapa hamasa vijana
Hahah alicheza timu ya taifa na baba yake huyo. Jina lake mwisho ni sen maana nimesearch imekuja hivyo
Majungu majungu tu. HahahahaView attachment 356619[emoji1] [emoji1]
Mbwembwe tu hizo hakuna kituNimegusia tu
Au kama hii View attachment 356620
[emoji1] [emoji1] [emoji1] basi sawaMbwembwe tu hizo hakuna kitu
[emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji1] [emoji1] [emoji1] basi sawa