kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,080
- 4,914
Ila walifuzu mbele ya uholanzi mbona cape verde n wachache kuliko sie Tanzania ila kwny viwango vya fifa wapo top 5 upande wa afrika so wingi wa watu sio ndo ubora wa timuKwan Iceland nayo timu??nchini kwao hawafiki hata laki 5