Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kwan Iceland nayo timu??nchini kwao hawafiki hata laki 5
Ila walifuzu mbele ya uholanzi mbona cape verde n wachache kuliko sie Tanzania ila kwny viwango vya fifa wapo top 5 upande wa afrika so wingi wa watu sio ndo ubora wa timu
 
#Iceland majina yote mwshoni #Son what a secret behind??
 
1465962893220.jpg
 
Basi nipe full jina. Halafu yule amecheza Chelsea na Barcelona kama sijakosea
Anaitwa Eiður Smári
Guðjohnsen Nafikir atakuwa kapitia hizo timu sababu ni mchezaj mzee ana miaka 37
 
Back
Top Bottom