Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Kampasia nani ?Nimependa pasi ya Pogba
itabidi watafute ushauri kwa yule mbunge wa ulanga aliesema sanamu ya posta iyondolewe iwekwe ya diamond nadhani ana uzoefu na haya mambo.#Payet naye ajengewe mnara pale #Paris nn[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
ile #stade de france tower/eiffel tower itabd ingolewe ijengwe ya #PAYET paleitabidi watafute ushauri kwa yule mbunge wa ulanga aliesema sanamu ya posta iyondolewe iwekwe ya diamond nadhani ana uzoefu na haya mambo.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]itabidi watafute ushauri kwa yule mbunge wa ulanga aliesema sanamu ya posta iyondolewe iwekwe ya diamond nadhani ana uzoefu na haya mambo.
Ha ha haaa! Ungekuwa karibu yangu ningekuchapaHawa Coman na Martial huku pembeni wanajitahidi sana
Mkuu nakaa kwenye kompyuta na review games za teams kabla hazijacheza!Kikubwa zaidi kumbuka kuwa teams zote kwa sasa za Ulaya zinawachezaji waoatamba Ulaya!Ni mambo ya zamani kufikiri yule atampiga yule easily!Mkuu naona unatembelea nyota ya Paul the octopus
Kwa sasa Payet bila Milion pound 60 wala usimpigie simu kocha Billic sababu atakufukuza tu!Euro imepandisha sana stock ya Payet na kushusha drastically bei ya PogbaPayet weka mbali na watoto aisee
kweli bangi siyo mchichaHapo Brazil anachukua kombe.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hapo hakuna haja ya kidhibiti kwa kweliikweli bangi siyo mchicha
Mkuu England hachomoki kwa WalesMkuu nakaa kwenye kompyuta na review games za teams kabla hazijacheza!Kikubwa zaidi kumbuka kuwa teams zote kwa sasa za Ulaya zinawachezaji waoatamba Ulaya!Ni mambo ya zamani kufikiri yule atampiga yule easily!
England anaenda kumfirigisa vibaya Wales kesho!
Leo tunashuhudia tena #sisimizi kuua #tembo watoto wa malkia leo wanahali ngumu wakicheza hii #EURO wataichabo #Luningani...#Swansea #cardif wanatoka Wales ila wanacheza #EPL au ndo #GreatBritain wenyewe then wanashiriki #fifa mbna #Zanzibar inakua ngumu kushiriki tournament za #fifa??Mkuu England hachomoki kwa Wales