Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

itabidi watafute ushauri kwa yule mbunge wa ulanga aliesema sanamu ya posta iyondolewe iwekwe ya diamond nadhani ana uzoefu na haya mambo.
ile #stade de france tower/eiffel tower itabd ingolewe ijengwe ya #PAYET pale
 
Giroud ni zombie hivi huyu kocha ana akil kweli
Greezman kichwa kimoja kamba Giroud vichwa kibao holaaa
Namkumbuka Benzema
 
itabidi watafute ushauri kwa yule mbunge wa ulanga aliesema sanamu ya posta iyondolewe iwekwe ya diamond nadhani ana uzoefu na haya mambo.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mkuu naona unatembelea nyota ya Paul the octopus
Mkuu nakaa kwenye kompyuta na review games za teams kabla hazijacheza!Kikubwa zaidi kumbuka kuwa teams zote kwa sasa za Ulaya zinawachezaji waoatamba Ulaya!Ni mambo ya zamani kufikiri yule atampiga yule easily!

England anaenda kumfirigisa vibaya Wales kesho!
 
5d9d2615d64ea204eaaae423569aef1e.jpg

Nimeipenda hii
1×7=7
2×7=14
3×7=21
 
Mkuu nakaa kwenye kompyuta na review games za teams kabla hazijacheza!Kikubwa zaidi kumbuka kuwa teams zote kwa sasa za Ulaya zinawachezaji waoatamba Ulaya!Ni mambo ya zamani kufikiri yule atampiga yule easily!

England anaenda kumfirigisa vibaya Wales kesho!
Mkuu England hachomoki kwa Wales
 
Mkuu England hachomoki kwa Wales
Leo tunashuhudia tena #sisimizi kuua #tembo watoto wa malkia leo wanahali ngumu wakicheza hii #EURO wataichabo #Luningani...#Swansea #cardif wanatoka Wales ila wanacheza #EPL au ndo #GreatBritain wenyewe then wanashiriki #fifa mbna #Zanzibar inakua ngumu kushiriki tournament za #fifa??
 
Back
Top Bottom