Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Leo polisi wa Lens na Lille kazi wanayo,maana wabritish watakavyoshangilia leo ni balaa tupu na mbaya zaidi wakikutana nawashabiki wa Russia mtaani ndo itakuwa vita
 
Mashabiki wa taifa starz ya ulaya sio?
Hawachelewi kukwambia ndio wameanza michuano rasmi baada ya huu ushindi wa leo.
Yeah.....Kazi ndo imeanza...who's next?...Slovakia?...hamna kitu hapo tunachapa tu.


with Sturridge and Vardy....hamna timu ya kuisimamisha England......on our way to final....
 
Mkuu Mussolin nitakosa gemu ya watoto wa malkia aisee coz nipo kwa ofisi bado hila leo naomba washinde hili kundi lao lizidi kuwa gumu wakatolewe mechi ya mwisho na solvakia...maana watoto malikia wangejua mpira dunia leo ingesimama kwa muda
Maombi yamesikika wameshinda
 
England wakipita group stage wataishia robo fainali... #EnglandFans mtarudi kule kule kuwatukana kina Roy, Neville, Rooney et la..
 
Kama Leicester ilikuwa bingwa ngoja tuiwekee pesa Northen Ireland kubeba Euro 16
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…