WAIKORU
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 1,586
- 2,454
Hata mashabiki wao humu ni kama washashinda euro vile
kudadadeki na ndo tushaanza hivo......ushindi mwanzo mwisho........walete Slovakia hapa....tunachapa tu...
viva England...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mashabiki wao humu ni kama washashinda euro vile
Hahaaaa leo hamtalala
Hahahaha kazi kwenu kumfunga Russia.Hahaaaa leo hamtalala
Yeah.....Kazi ndo imeanza...who's next?...Slovakia?...hamna kitu hapo tunachapa tu.Mashabiki wa taifa starz ya ulaya sio?
Hawachelewi kukwambia ndio wameanza michuano rasmi baada ya huu ushindi wa leo.
Lakini hamvuki hii round [emoji35] [emoji35] [emoji35] ubaya ubayaniHahahaha kazi kwenu kumfunga Russia.
Leo vitwanga tu
Yah, Ndo tumeanza rasmi mshindanoMashabiki wa taifa starz ya ulaya sio?
Hawachelewi kukwambia ndio wameanza michuano rasmi baada ya huu ushindi wa leo.
Hahaha jidangaye tu. Nyie Wales ndo mwisho wenu umewadiaLakini hamvuki hii round [emoji35] [emoji35] [emoji35] ubaya ubayani
Slovakia anampiga england haina ubishiLakini hamvuki hii round [emoji35] [emoji35] [emoji35] ubaya ubayani
Tunaingia na Slovakia jiandaeni kurudi kwenuHahaha jidangaye tu. Nyie Wales ndo mwisho wenu umewadia
Maombi yamesikika wameshindaMkuu Mussolin nitakosa gemu ya watoto wa malkia aisee coz nipo kwa ofisi bado hila leo naomba washinde hili kundi lao lizidi kuwa gumu wakatolewe mechi ya mwisho na solvakia...maana watoto malikia wangejua mpira dunia leo ingesimama kwa muda
Hahahahahaha....wanamkimbilia mshikaji Wao....#YNWA#
England na Wales weweTunaingia na Slovakia jiandaeni kurudi kwenu
Maombi yamesikika wameshinda
Thanks Sturridge