Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Halafu kuna mchezaji wa croatia alimnong'oneza kipa wao kitu juu ya Ramos,huyo mchezaji anacheza team moja na Ramos?yule Ramos ndo captain akajichagua mwenyewe kupiga tuta,kakosaHawa jamaa wakoje lkn? Mtamuchiaje Ramos apige penalt wakati kuna mafundi wamejaa mulee...
Dkk ya 73 matokeo yaleyale 1-1