Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

#Perisic kaamua matokea watoto wa #davod suker wanajpgia watoto wa #Gaizka mendieta...fundi #modric vp mbna kakaa njee...ila uyu #perisic ni moto iyo miguu yake ni matatizo anakakimbia kama ##bolt bana
 
Croatiaaaaa
Mussolin5 ulinishangaa sana nilivyo ichagua Croatia kama ndiyo mabingwa wapya UEFA!Nakuambieni tena teams zote nilizichambua na kilicho mpata Spain leo kitawapata wengi

Croatia imeingia uwanjani ikiwapumsizha wachezaji wake 3 muhimu wa kikosi cha kwanza akiwepo Mandzukic,Modric,Brozovic na hata sup sub Damagoj Vida
 
2012 kwenye mechi 3 za group stage Spain walipoteza moja dhidi ya Switzerland lakini mwisho wa mashindano wakaibuka kidedea.
 
187d81bc72b7cc08325f473c4bcf98c4.jpg
 
2012 kwenye mechi 3 za group stage Spain walipoteza moja dhidi ya Switzerland lakini mwisho wa mashindano wakaibuka kidedea.
unajipa Moyo,this time team kama italy sio vibonde,utaona cha moto
 
Back
Top Bottom