Halafu kuna mchezaji wa croatia alimnong'oneza kipa wao kitu juu ya Ramos,huyo mchezaji anacheza team moja na Ramos?yule Ramos ndo captain akajichagua mwenyewe kupiga tuta,kakosaHawa jamaa wakoje lkn? Mtamuchiaje Ramos apige penalt wakati kuna mafundi wamejaa mulee...
Dkk ya 73 matokeo yaleyale 1-1
Mchezaji kapewa yellow kwa kuvua jezi hapa
Jamani mimi best team zangu mpaka sasa ni Croatia na Poland
Halafu kuna mchezaji wa croatia alimnong'oneza kipa wao kitu juu ya Ramos,huyo mchezaji anacheza team moja na Ramos?yule Ramos ndo captain akajichagua mwenyewe kupiga tuta,kakosa
Sijakuiga,ila tumefanana mtazamoMkuu mbona unaniiga [emoji3]
Jamani mimi best team zangu mpaka sasa ni Croatia na Poland