BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
mimi team yangu huwa France,ila jinsi nilivyofuatilia mtanange wa makundi Croatia na Poland wameonyesga soccer bora kabisaImekua ivo tena my dada? Mi najua wota tupo timu moja "Spain
Hivi ni alfajiri ya saa ngapi?Full time 2-1
Wazee Tusubiri Albiceleste na USA,karibuni kwenye thread yetu
Tutakaribia japo changamoto ni mudaFull time 2-1
Wazee Tusubiri Albiceleste na USA,karibuni kwenye thread yetu
Wafungwe tu
Na mechi imeishaHatimae tumefungwa tuu
Hivi ni alfajiri ya saa ngapi?
hapo nitajua matokeo tu,maana huo muda ni wa kujiandaa kwenda jobSaa 10:00 ya alfajiri
Kashindwa kumkwepa,kweli kazi ipoSpain atakutana na Italy....kazi ipo
Na mechi imeisha
Hata Germany nae kama anasusua ingawa Leo ameshindaNdio ivoo the name
unajipa Moyo,this time team kama italy sio vibonde,utaona cha moto2012 kwenye mechi 3 za group stage Spain walipoteza moja dhidi ya Switzerland lakini mwisho wa mashindano wakaibuka kidedea.
Halafu kuna mchezaji wa croatia alimnong'oneza kipa wao kitu juu ya Ramos,huyo mchezaji anacheza team moja na Ramos?yule Ramos ndo captain akajichagua mwenyewe kupiga tuta,kakosa