Nilikuwa sijui hii kitu duuuh[emoji15]Hahha mkuu ina maana hujui Kama Allen ni Wales Pirlo. ...[emoji15]
Wananilet down sana labda wafanye maajabu
Ngoja tuone kinachonishangaza huwa wana wachezaji wazuri lakini wanaishia mwanzo huku maandalizi ya mbwembwe .... vipi dogo rashford haitwi ama siyo squad hii???Nilikuwa sijui hii kitu duuuh[emoji15]
Ila safari mimi naamini watafanya vizuri
Hata mimi huwa nashangaa sana. Wachezaji wazuri ila hawafanyi poa.Ngoja tuone kinachonishangaza huwa wana wachezaji wazuri lakini wanaishia mwanzo huku maandalizi ya mbwembwe .... vipi dogo rashford haitwi ama siyo squad hii???
Hata kwenye familia lazima atokee mtu mmoja tu anaeweza kuinyanyua, na hata hizo timu unazozipenda lazima atokee mmoja anaetegemewa sana.
Mmmmh! hamna kitu hapo. majina tuu hayo hata sisi tunayoGk: Fraser Foster
Defence: Klye Walker, Chris Smalling, John Stones, Danny Rose
Midfield: Danny Drinkwater, Eric Dier, Delle Alli
Attack: Jamie Vardy, Harry Kane, Danny Welbeck
Subs: Jack Burtland, Garry Cahill, Ryan Bertrand, James Milner, Ross Barkley, Jordan Henderson, Daniel Sturidge
Hii timu mnaiona ordinary ila ina Chemistry ambayo ni tishio
I go for England!!!!!
weka na ww tuone majina yako...Mmmmh! hamna kitu hapo. majina tuu hayo hata sisi tunayo
Spain inakuwa mzuri kama timu za Barcelona na Madrid zikiwa vizuri, Barca wako vizur ila tatizo wachezaji wote wazur pale Nuo Camp wanatoka mataifa mengine, hebu ona hii#SPAIN#. Ukibisha wewe zuzu.
#SPAIN#. Ukibisha wewe zuzu.
...hivi unajua maana ya team?!Spain inakuwa mzuri kama timu za Barcelona na Madrid zikiwa vizuri, Barca wako vizur ila tatizo wachezaji wote wazur pale Nuo Camp wanatoka mataifa mengine, hebu ona hii
Messi- Argentina
Suarez - Uruguay
Neymar -Brazil
Rakitic- Croatia
Dan Alves - Brazil
Ukicheck kikosi cha Madrid utaona hivi
Ronaldo- Portugal
Bale - Wales
Benzema- France
Modric- Croatia
Toni Kroos- Germany
Sasa huo ubora wa timu ya Spain utatoka wapi!!!!!????
Lloris ni kipa mzuri sana kando ya David De Gea, Buffon, Neuer, Courtois na Oblak.France kipa hawana ni mbovu huyo lorlis
hahaha...pia Ribbery hatokuwepo.Ila nasikitika tutammiss Roben mzee wa kujirusha kutafuta penalt
Hahaha...acha matusi basi.Nailpa nafasi Simba. Itafanya vizuri sana!!!
Huyo ni gwiji wa siasa hvyo mpira haelew lolote