Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Nilikuwa sijui hii kitu duuuh[emoji15]

Ila safari mimi naamini watafanya vizuri
Ngoja tuone kinachonishangaza huwa wana wachezaji wazuri lakini wanaishia mwanzo huku maandalizi ya mbwembwe .... vipi dogo rashford haitwi ama siyo squad hii???
 
Hata kwenye familia lazima atokee mtu mmoja tu anaeweza kuinyanyua, na hata hizo timu unazozipenda lazima atokee mmoja anaetegemewa sana.

Argentina fan....Argentina haimtegemei Messi pekeake! Hilo timu Iina mastraika chungu nzima wengine wamekosa nafasi pale, ukiachana na wale waliopo europe na south american, mule ndani wamejaa ka taka taka, BOCA JUNIORS....RIVER PLATE....NEWELL'S OLDBOYS....GODOYS nk.
 
Gk: Fraser Foster
Defence: Klye Walker, Chris Smalling, John Stones, Danny Rose
Midfield: Danny Drinkwater, Eric Dier, Delle Alli
Attack: Jamie Vardy, Harry Kane, Danny Welbeck

Subs: Jack Burtland, Garry Cahill, Ryan Bertrand, James Milner, Ross Barkley, Jordan Henderson, Daniel Sturidge


Hii timu mnaiona ordinary ila ina Chemistry ambayo ni tishio

I go for England!!!!!
Mmmmh! hamna kitu hapo. majina tuu hayo hata sisi tunayo
 
#SPAIN#. Ukibisha wewe zuzu.
Spain inakuwa mzuri kama timu za Barcelona na Madrid zikiwa vizuri, Barca wako vizur ila tatizo wachezaji wote wazur pale Nuo Camp wanatoka mataifa mengine, hebu ona hii
Messi- Argentina
Suarez - Uruguay
Neymar -Brazil
Rakitic- Croatia
Dan Alves - Brazil
Ukicheck kikosi cha Madrid utaona hivi
Ronaldo- Portugal
Bale - Wales
Benzema- France
Modric- Croatia
Toni Kroos- Germany
Sasa huo ubora wa timu ya Spain utatoka wapi!!!!!????
 
Spain inakuwa mzuri kama timu za Barcelona na Madrid zikiwa vizuri, Barca wako vizur ila tatizo wachezaji wote wazur pale Nuo Camp wanatoka mataifa mengine, hebu ona hii
Messi- Argentina
Suarez - Uruguay
Neymar -Brazil
Rakitic- Croatia
Dan Alves - Brazil
Ukicheck kikosi cha Madrid utaona hivi
Ronaldo- Portugal
Bale - Wales
Benzema- France
Modric- Croatia
Toni Kroos- Germany
Sasa huo ubora wa timu ya Spain utatoka wapi!!!!!????
...hivi unajua maana ya team?!
 
Germany anafika final,Belgium anafika semi final,France anafika semi final,kwambali kama Azzuri akishindwa semi final nasi Hispaniola watachukua nafasi ila Germany wanafika final kbsaaaaaaaaaaaa,mkunbukeni
 
Back
Top Bottom