Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Dah nilijua Iceland kadroo kumbe Ronaldo na group yake outttt

bado waingereza,
Ureno kapita ana goal difference nzuri kuliko turkey n albania wengine wenye point 3 waliopita n n.ireland n slovakia
 
Iceland[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Cristiano Ronaldo ameweka rekodi 3 leo.
1. Amekuwa mchezaji aliyecheza mechi nyingi zaidi katika Euro, mechi 17.
2. Anakuwa mchezaji wa kwanza kufunga katika fainali 4 za Euro, 2004, 2008, 2012, 2016.
3. Baada ya magoli mawili ya leo, ametimiza magoli 8 katika Euro, ni Michel Platini tu ndio amefunga zaidi yake - magoli 9.
 
Beki mbovu sana aisee. Huyu namba tatu alikuwa uchochoro

na ukitazama wamecheza na timu ambayo haikuwa na presha kubwa lakini hovyo tu,ngoja wakutanae na Crotia waabike zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…