Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kwani ili Uprove messi ni bora ni lazima uombee Ronaldo aflop?and vice versa

Mi naona mtu wa hivyo ni mfata mkumbo tu...unakuta mtu mpaka anaombea messi/ronaldo apate injury...ni ujinga tu huo
 
Iceland wamepiga goli dakika ya 94 na kuipeleka out ureno waliokuwa wanaombea suluhu


Sometimes unatakiwa ufuatilie football kuliko kuendekeza zengwe lisilo na maana. Halafu sijui kitu gani kinachokufanya umchukie sana huyu jamaa.
Okay, for your information Iceland, Hungary na Portugal zote zimeingia hatu ya 16 bora. Haya kunywa bia sasa.
 
Mambo yamegeuka pamoja

Ireland 1 Italy 0

Sweden 0 Belgium 1

 
Hawa wataliano Hawa ndio wamtoe Spain kwenye mashindano Hawa? Mi nilikuwa nasema tangu wiki iliyopita kwasababu ya lack of concetration na waliingia mashindanoni kwa kujiona wao Ni masuper star full squad. Lakini game irudiwe hats kesho Hawa mababu hawamfungi Belgium
 
Wamecheza hivyo koz walishashinda na walishafuzu kuendelea...kama Spain jana.
 
Euro 2016 facts

Petr Cech has conceded 21 goals in EURO history – more than any other player. The former record was 20 goals conceded by Peter Schmeichel.

Germany had 79% possession against Northern Ireland, the highest tally in a single game at the Euro Finals since 1980.

Ukraine are the first team in EURO history to fail to score in five consecutive games.

Emre Mor is the youngest player to assist a goal at EURO 2016 and the 3rd youngest in EURO history (after Enzo Scifo in 1984 and Wayne Rooney in 2004) - 18y 332d.

Álvaro Morata’s defeat against Croatia was only the second in his career in a senior game where he had scored, after the Champions League final versus Barcelona.

Against Portugal, Iceland recorded the lowest possession in a EUROs game since 1980 without losing (27.8 per cent).

Zoltan Gera became the second oldest goal scorer in a EURO finals match (37y 61d old) – behind Ivica Vastic (Austria v Poland – June 2008 -38y 256d).

Gareth Bale is the first player since Thomas Hassler in 1992 to score two free-kick goals in one European Championship.

Defeat against Croatia was the first time Spain had ever lost a game at the EUROs having been ahead.

Belgium made 28 passes prior to scoring their second goal against Ireland, the most passes leading to a goal since EURO 1980.
 
Yaani huyu Rodriguez lazima aje Real Madrid huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…