PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,106
- 14,353
Basi sawa[emoji106]Kumbe dogo na kijana ni maneno mabaya kuliko 'kilazaa'.!!!!??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi sawa[emoji106]Kumbe dogo na kijana ni maneno mabaya kuliko 'kilazaa'.!!!!??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Iceland wamepiga goli dakika ya 94 na kuipeleka out ureno waliokuwa wanaombea suluhu
Wamecheza hivyo koz walishashinda na walishafuzu kuendelea...kama Spain jana.Hawa wataliano Hawa ndio wamtoe Spain kwenye mashindano Hawa? Mi nilikuwa nasema tangu wiki iliyopita kwasababu ya lack of concetration na waliingia mashindanoni kwa kujiona wao Ni masuper star full squad. Lakini game irudiwe hats kesho Hawa mababu hawamfungi Belgium
Utabiri wako umetimia! Bonge moja ya goliHii game Poland wasipoangalia lazima waende 120 hapa. Maana waswizi mpaka beki zinapiga kwenye target.
Utabiri wako umetimia! Bonge moja ya goli
Yupo club gani sasa hivi?Yaani huyu Rodriguez lazima aje Real Madrid huyu.
Yupo club gani sasa hivi?
Dk 30 za nyongeza zimeanza. Hii game poland wanaondoka...
Goli la shaqir ndio goli bora la mashibdano.