Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Wamenichelewesha kupiga dinner yangu hawa, game ilitakiwa iishe before.
 
Xhaxa alikuwa anajaribu kutoa pasi ya kujifunza pre season kwa Striker wa Arsenal zaidi ya hapo ni Good Player! zile Pasi za 60 yard. Swiss wanarudi kwenda kunilindia Pesa zangu.
 
Huyu aliyekosa penalti jamani,sio kwa kuingia chaka kule kwa kweli,sasa tuwasubiri Great Britain,Walles wa pro Brexit na Northern Ireland ma ant Brexit,ungunja na pemba ant na pro Tanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…