Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,461
- 35,218
Jamaa anajitahidi sana. Ile inaitwa krosi dongo ukigusa tu ndaniYaani forward line ya Real Madrid yule ndio mwenye uhakika, Benzema na Cristiano lazima watafutiwe back up soon.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa anajitahidi sana. Ile inaitwa krosi dongo ukigusa tu ndaniYaani forward line ya Real Madrid yule ndio mwenye uhakika, Benzema na Cristiano lazima watafutiwe back up soon.
Na yule beki angeiacha pia ingekua goli maana jamaa wa wales alikua nyuma yakeJamaa anajitahidi sana. Ile inaitwa krosi dongo ukigusa tu ndani
Pale beki halaumiwi kabisaNa yule beki angeiacha pia ingekua goli maana jamaa wa wales alikua nyuma yake
Kete yangu inaenda kwa aidha Germany, Italy au Croatia.Kuna timu zina wachezaji wenye majina makubwa lakini sio ndio garantii ya kufanya vyema hasa linapokuja suala la Tournament kubwa kama hii ya Euro 2016 ambayo itafanyika Ufaransa kwanzia 10 June mpaka 10 July na kushirikisha jumla ya timu 24.
Leo nataka tujadiliane timu ambazo zitafika mbali yani kwanzia nusu fainali mpaka fainali kutokana na uhodari wa vikosi vyao, kujituma kwa wachezaji pamoja na makundi waliyopo.
![]()
Mimi nazipa nafasi timu hizi nne kufika mbali zaidi.
1.Ufaransa
Licha ya kuwa wenyeji tu bali pia wana kikosi cha dhahabu kama vile Pogba, Martial, Griezmann, Laporte, Coman, Benzema na wengineo wengi.
2.Ubelgiji
Kikosi kingine ninachokipa nafasi kwa kuwa timu yenye wachezaji wenye muunganiko mzuri.
3.Ujerumani
Never underestimate the Germans.
Kitu pekee ninachowapa nafasi hawa jamaa ni uwezo wao wa kuwa na wachezaji wenye kujituma sana hasa linapokuja suala la kuvaa jezi ya timu ya taifa. Wana wachezaji ambao huwa hawavumi sana katika klabu zao ila wanapafomu vizuri timu ya taifa. Rejea kuhusu mkongwe aliyestafu Miroslav klose.
4.Croatia
Watu wengi hawazungumzii kuhusu Croatia ila balaa lake ni moto wa kuotea mbali kuna mafundi wa kutosha wasioimbwa ulaya kama akina Kovacic, Modric, Rakitic na wengineo.
Karibu utuambie na wewe timu unazozipa nafasi kufanya vyema kwenye Euro 2016 pale Ufaransa.
========================================================================================================
Ratiba kamili na muda hii hapa chini
![]()
![]()
Kete yangu inaenda kwa aidha Germany, Italy au Croatia.
Umehamia timu ganiXhaka ameniboa. Penati gani ile sasa
Leo nilipenda uswiss wapite sababu Leo wamecheza vizuri sanaUmehamia timu gani
Mi mwenyewe inanipa mashaka kweliHii game hii. Croatia own possession so far, lakini Portugal wamekuwa aggressive tangu mwanzo.
so far mpaka sasa ndiye mchezaji mkubwa aliyeonyesha uwezo wake kwenye Euro!!Bale kapiga mpira leo
Ni kweli. Lewa kachemka sanaso far mpaka sasa ndiye mchezaji mkubwa aliyeonyesha uwezo wake kwenye Euro!!
Wakienda penalt ,Portugal atatoka.Kipa wa Croatia yupo vizuriKete yangu inaenda kwa aidha Germany, Italy au Croatia.
Kawa wa kawaida sana!Ni kweli. Lewa kachemka sana
Sana. Mechi nne hana goli hata mojaKawa wa kawaida sana!