Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

WAPENZI WA MZIKI DIAMOND KAKOSA TUZO ZA BET AWARDS IMEENDA KWA BLACK COFFEE MSOUTH AFRICA
 
Huyu William Carvalho ( overrated ) wa Ureno ndio alikuwa akisifiwa kuwa kiungo hodari wa kukaba, akawa gumzo kwenye usajili hadi Wenger akababaika kidogo aingie choo cha kike.
 
Attempt on target dkk ya 80 Portugal 0 Croatia 0, kweli Ronaldo mchezaji wa kiwango cha dunia?
 
Dalili za kushuhudia matuta,Hope Ronaldo hatakosa leo,ila kipa wa Croatia yupo fit
 
Hii game Pepe katulia sana hii la sivyo saa hizi habari zingekuwa nyingine.
 
Yaani ureno hata kugonga pasi 5 tu wameshindwa leo, sijui wana matatizo gani hawa jamaa
 
Sijawahi kuona game halina shot on target ndio nimeona leo. Nadhani wanategemea magoli ya kujifunga.
 
Back
Top Bottom