Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Matokeo haya ya Poland ni ya kustajaabisha, nasubiria surprise zaidi toka mechi nyingine!

Hii ni hatua ya mtoano, hatua ambayo anaejua kumaliza gemu ndio mshindi kuliko yule aliyecheza vizuri.
 
leo Northen Ireland na Wales kila kitu British mpaka Marefa leo tofauti ni Wapo Europe bado tehteh wales itashinda ila itapendeza Timu kama Northen Ireland na Iceland zikafika hata Final.
 
Matokeo haya ya Poland ni ya kustajaabisha, nasubiria surprise zaidi toka mechi nyingine!

Hii ni hatua ya mtoano, hatua ambayo anaejua kumaliza gemu ndio mshindi kuliko yule aliyecheza vizuri.
Saana... swiss wamecheza vizur sana esp 2nd half! Ilibidi washinde but ndo hivyo
 
Gareth Bale Mungu wa Wales alisema kwenye presser afunge goli au hata own goal cha muhimu ni kusonga mbele tu. Ni own goal lakini ilikuwa bonge moja la strike. Tusubiri one hour, tunakuja kuona game la mauaji hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…