Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
- Thread starter
-
- #1,341
Ukame wa hali ya juuSana. Mechi nne hana goli hata moja
Hata Luis Nani kaonesha uwezoUkame wa hali ya juu
Yap mkuu...ndio maana kuna muda nasema timu za taifa hazina mvuto kwa kuwa wachezaji huwa hawajitumi kama inavyotakiwa. Au labda uchovu wa kutumika msimu mzima?Hata Luis Nani kaonesha uwezo
Inawezekana pia. Ila mbona wengine wanafanya vizuri. Mfano ArgentinaYap mkuu...ndio maana kuna muda nasema timu za taifa hazina mvuto kwa kuwa wachezaji huwa hawajitumi kama inavyotakiwa. Au labda uchovu wa kutumika msimu mzima?
basi pengine hamasa sio kubwa sana!!Inawezekana pia. Ila mbona wengine wanafanya vizuri. Mfano Argentina
I hope hatua hii tutaona mambo mazuribasi pengine hamasa sio kubwa sana!!
URENO KIKOSI KIBOVU LAWAMA KWA CROTIA KUSHINDWA KUWAFUNGAUreno Leo wamepoteana .
Hivi Coentrao yuko wapi siku hizi?
Leo hajafanya lamaana mi nime uchek ule mpiraso far mpaka sasa ndiye mchezaji mkubwa aliyeonyesha uwezo wake kwenye Euro!!
We tunakufaham mbonaHii ni mechi nyingine iliyomfanya Ronaldo niendelee kumuona wa kawaida kwenye National team