Kawa man of the match katka poor form
Ba NIR bado wamejitahid kama uliangalia mechi uliona wao hata kufika golin wamefika sana kuliko wales
Labda hujachek mech bro
HahahaaMkuu kumbe nawe umeona! Croatia walistshili huo ushindi
Hii ni mechi nyingine iliyomfanya Ronaldo niendelee kumuona wa kawaida kwenye National team
Mkuu siku zote uwa unakuwa una michango rational sana na huwa nakuheshimu kwa hiloThat's your opinion bro. Kama kufika golini ndio ushindi basi Croatia nao waendelee na mashindano. Mi nimeangalia mechi na nimemuona Bale kacheza vizuri tu na ile strike force ni ushahidi tosha.
Hao ndo bas tena ila mimi nimehis sasa bahat haikuwa upande waoMpira hauko fair kabisa,hii ilikua ni nafasi ya Croatia
Kweli bahati iliwapitia kushoto.Hao ndo bas tena ila mimi nimehis sasa bahat haikuwa upande wao
Ila mpira bhana, alo kuwa mshindi wa kwanza kwenye group yakeKweli bahati iliwapitia kushoto.
Portugal na Poland robo fainali ,kazi ipo
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]#PNC atuoni comment zako
Portugal na Poland robo fainali ,kazi ipo
Hapo nakupingaAlaf wanamlinganisha na mfalme jamani sikumkosea heshima jamani
Argentina, aguero anaanzia bench. Nchi gani duniani utamweka aguero bench. Messi anachezea kikosi bora dunianiHapo nakupinga
Panga hapa kikos cha argentina alaf weka na ureno
Alafu jaji
Wakuu, mnawaangalia Germany na uchezaji wao wanawachanganya sana Ukraine.
Hii naona robo fainali -Germany, Wales, Croatia, Poland, Portugal, Spain, France na Italy.
Kuna timu zina wachezaji wenye majina makubwa lakini sio ndio garantii ya kufanya vyema hasa linapokuja suala la Tournament kubwa kama hii ya Euro 2016 ambayo itafanyika Ufaransa kwanzia 10 June mpaka 10 July na kushirikisha jumla ya timu 24.
Leo nataka tujadiliane timu ambazo zitafika mbali yani kwanzia nusu fainali mpaka fainali kutokana na uhodari wa vikosi vyao, kujituma kwa wachezaji pamoja na makundi waliyopo.
Mimi nazipa nafasi timu hizi nne kufika mbali zaidi.
1.Ufaransa
Licha ya kuwa wenyeji tu bali pia wana kikosi cha dhahabu kama vile Pogba, Martial, Griezmann, Laporte, Coman, Benzema na wengineo wengi.
2.Ubelgiji
Kikosi kingine ninachokipa nafasi kwa kuwa timu yenye wachezaji wenye muunganiko mzuri.
3.Ujerumani
Never underestimate the Germans.
Kitu pekee ninachowapa nafasi hawa jamaa ni uwezo wao wa kuwa na wachezaji wenye kujituma sana hasa linapokuja suala la kuvaa jezi ya timu ya taifa. Wana wachezaji ambao huwa hawavumi sana katika klabu zao ila wanapafomu vizuri timu ya taifa. Rejea kuhusu mkongwe aliyestafu Miroslav klose.
4.Croatia
Watu wengi hawazungumzii kuhusu Croatia ila balaa lake ni moto wa kuotea mbali kuna mafundi wa kutosha wasioimbwa ulaya kama akina Kovacic, Modric, Rakitic na wengineo.
Karibu utuambie na wewe timu unazozipa nafasi kufanya vyema kwenye Euro 2016 pale Ufaransa.
========================================================================================================
Ratiba kamili na muda hii hapa chini
Mpira hauko fair kabisa,hii ilikua ni nafasi ya Croatia