Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kawa man of the match katka poor form
Ba NIR bado wamejitahid kama uliangalia mechi uliona wao hata kufika golin wamefika sana kuliko wales

Labda hujachek mech bro


That's your opinion bro. Kama kufika golini ndio ushindi basi Croatia nao waendelee na mashindano. Mi nimeangalia mechi na nimemuona Bale kacheza vizuri tu na ile strike force ni ushahidi tosha.
 
Victoire 2.30am EAT later today ni USA na Colombia kutafuta mshindi wa tatu na final match between Chile and Argentina will be tomorrow at 2.30am EAT.
 
That's your opinion bro. Kama kufika golini ndio ushindi basi Croatia nao waendelee na mashindano. Mi nimeangalia mechi na nimemuona Bale kacheza vizuri tu na ile strike force ni ushahidi tosha.
Mkuu siku zote uwa unakuwa una michango rational sana na huwa nakuheshimu kwa hilo

Leo nahesabu kama umepotoka kiaina tuu, na wait maoni yako ya kesho

Kina bale sidhan hata kama on target zaid ya moja wamepiga

Japo matokeo yana onesha wameshnda
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Wakuu hii timu ya Portugal huwa haikosi kucheza robo fainali.

Robo Fainali.

Thursday- Portugal vs Poland katika uwanja wa Stade Velodrome mjini Marseille.

Friday- Wales vs Hungry/Belgium- Mjini Lille
 
Wakuu, mnawaangalia Germany na uchezaji wao wanawachanganya sana Ukraine.

Hii naona robo fainali -Germany, Wales, Croatia, Poland, Portugal, Spain, France na Italy.

Nilikwishatoa utabiri wangu ukiondoa Croatia sasa nasubiri kama ntashinda betting yangu angalau nusu ya dau.

Lol
 
Kuna timu zina wachezaji wenye majina makubwa lakini sio ndio garantii ya kufanya vyema hasa linapokuja suala la Tournament kubwa kama hii ya Euro 2016 ambayo itafanyika Ufaransa kwanzia 10 June mpaka 10 July na kushirikisha jumla ya timu 24.

Leo nataka tujadiliane timu ambazo zitafika mbali yani kwanzia nusu fainali mpaka fainali kutokana na uhodari wa vikosi vyao, kujituma kwa wachezaji pamoja na makundi waliyopo.
1009302-___n-1450013811-956-640x480.jpg


Mimi nazipa nafasi timu hizi nne kufika mbali zaidi.
1.Ufaransa
Licha ya kuwa wenyeji tu bali pia wana kikosi cha dhahabu kama vile Pogba, Martial, Griezmann, Laporte, Coman, Benzema na wengineo wengi.

2.Ubelgiji
Kikosi kingine ninachokipa nafasi kwa kuwa timu yenye wachezaji wenye muunganiko mzuri.

3.Ujerumani
Never underestimate the Germans.
Kitu pekee ninachowapa nafasi hawa jamaa ni uwezo wao wa kuwa na wachezaji wenye kujituma sana hasa linapokuja suala la kuvaa jezi ya timu ya taifa. Wana wachezaji ambao huwa hawavumi sana katika klabu zao ila wanapafomu vizuri timu ya taifa. Rejea kuhusu mkongwe aliyestafu Miroslav klose.

4.Croatia
Watu wengi hawazungumzii kuhusu Croatia ila balaa lake ni moto wa kuotea mbali kuna mafundi wa kutosha wasioimbwa ulaya kama akina Kovacic, Modric, Rakitic na wengineo.

Karibu utuambie na wewe timu unazozipa nafasi kufanya vyema kwenye Euro 2016 pale Ufaransa.

========================================================================================================

Ratiba kamili na muda hii hapa chini
CfdApuQXEAAAeUN.jpg

CkdfMTtXIAAR8i_.jpg

Mussolin naona list yako kwa timu ulizozipa nafac zaanza kupungua moja moja hahaa, nimeumia sana croatia kutoka.
 
Ni lazima utumie nafasi unazopata golini na Croatia wamecheza saaana lakini mwisho wa siku kuna kitu kinaitwa uzoefu.

Uzoefu wa akina Pepe, Nani na Ronaldo umechangia ushindi wa Portugal na sio kingine.
 
Back
Top Bottom