HahahaaPortugal ndio timu pekee kuingia robo fainali ya mashindano kwa mara sita mfululizo. They set a record already. Na ukiangalia fixture utaona wale vigogo wote wako upande mwingine kwahiyo hawa jamaa usishangae kwa kusuasua lakini wakfika mbali.
HahahaKiteteo chetu kitakuwa tuliathiriwa na mvua ya kwenye game ya mwisho hivyo tulicheza na kichomi [emoji41] [emoji41] .... hakuna siku nitakayo kuwa na furaha kama kesho Argentina akikosa kombe
Kumbe tumeweka virekodi vingi hivi [emoji41] ..... teeehe teeehe from best loser to the final.... ngoja nikapakue start from the bottom kabisaPortugal ndio timu pekee kuingia robo fainali ya mashindano kwa mara sita mfululizo. They set a record already. Na ukiangalia fixture utaona wale vigogo wote wako upande mwingine kwahiyo hawa jamaa usishangae kwa kusuasua lakini wakfika mbali.
Hahaaaa heshima kwako mkuu ngoja niweke hifadhi ya maneno ili kesho nirudi na nguvu mpyaMnajidanganya
England yuko upande wa pili.Hahahaa
Na kweli mkuu kama hvi wana kutana poland
Usishangae semi waka kutana na wales au england
Kumbe tumeweka virekodi vingi hivi [emoji41] ..... teeehe teeehe from best loser to the final.... ngoja nikapakue start from the bottom kabisa
France wameshakalia kimoja
Kisha potea mkuuHuyu binadamu wa kuitwa payet mbona simuoni?
Giroud pogba na griezman wanazingua tu humu.Kwahyo huyu Giroud ndio striker namba moja wa arsenal?
Its griezman once againI am so happy for France to equalize, they deserve to win this game. What a goal!
Its griezman once again