Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,923
HahahaaPortugal ndio timu pekee kuingia robo fainali ya mashindano kwa mara sita mfululizo. They set a record already. Na ukiangalia fixture utaona wale vigogo wote wako upande mwingine kwahiyo hawa jamaa usishangae kwa kusuasua lakini wakfika mbali.
Na kweli mkuu kama hvi wana kutana poland
Usishangae semi waka kutana na wales au england