Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Hahaha
Ujue nlikuwa nafuatilia kwa mikin nsihe danganywa na watu

Timu yetu iko vzuri
Sema huwa tuna ka ugonjwa ka kufungwa na wote italy na spain
Yaan hata tuweje huwa tuna tafta namna ya kufungwa
Hasa Italy ndio anatuonea sana!!
 
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]

Leofail Missi

Kapiga ya mwendo kasi
Habari bila picha hainogi hahaaaaa sijawahi kuona penati kama aliyopiga leo popote dunia hata ya Samatha nzuri

cf0a05c89f972dc1d129ffe14157578b.jpg
 
Hahaaaaaaaaaaa popote alipo Mussolin5 na PNC 1 naomba muwape mikono ya hongera teeeehe teeehe bored game mixer penati za mwendokasi

Szczesny Th Name messi katusaidia sana
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Messi amekuwa msaada kwetu aisee. PNC 1 analia sijui. Sema kadi zilitawala sana. Halafu hawa Argentina hawajui kupiga penati. Hii mara ya pili
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Messi amekuwa msaada kwetu aisee. PNC 1 analia sijui. Sema kadi zilitawala sana. Halafu hawa Argentina hawajui kupiga penati. Hii mara ya pili
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]

Jf pamekuwa mahali salamaaa na tulivu, maana Missi fan boys wange tusumbua hapa
 
Habari bila picha hainogi hahaaaaa sijawahi kuona penati kama aliyopiga leo popote dunia hata ya Samatha nzuri

cf0a05c89f972dc1d129ffe14157578b.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaan kaamua amalize ubishi yeye mwenyewe

Last year walisema wenzake wame muangusha
Nategemea mwaka huu
Waseme kawa angusha wenzie
 
Back
Top Bottom