hata mimi,naona jina tu kama Pogba vileFrankly speaking sionagi lukaku anafanya nini
Umeng'ata na kupuliza
Hazard aondoki
Frankly speaking sionagi lukaku anafanya nini
Napotoka vp? jamaa japo siwashangilii lakini wapo vizuriBelgium una potoka hapo bro
Hasa Italy ndio anatuonea sana!!Hahaha
Ujue nlikuwa nafuatilia kwa mikin nsihe danganywa na watu
Timu yetu iko vzuri
Sema huwa tuna ka ugonjwa ka kufungwa na wote italy na spain
Yaan hata tuweje huwa tuna tafta namna ya kufungwa
Hawa wez chukua haoNapotoka vp? jamaa japo siwashangilii lakini wapo vizuri
Mimi ntakojoa kwanzia hapa Bunju mpaka ChamaziPortugal akiingia fainali navua nguo[emoji13][emoji13] [emoji13]
Inategemeana semi itakuna na nanMimi ntakojoa kwanzia hapa Bunju mpaka Chamazi
Anaweza akakutana na vibonde ghafla fainali hii hapaInategemeana semi itakuna na nan
Belgium anasonga,akakutane na portugalQuarter final ni Belgium vs Wales.
Belgium anasonga,akakutane na portugal
Yaah!vishoka wamepewa viroba haya mambo haya yaani 16 bora ndio watu wanaanza kupigwa nyingi!ulaya mashariki sasa kabaki Poland tu,na yeye hafiki mbali
Habari bila picha hainogi hahaaaaa sijawahi kuona penati kama aliyopiga leo popote dunia hata ya Samatha nzuri[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
Leofail Missi
Kapiga ya mwendo kasi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Messi amekuwa msaada kwetu aisee. PNC 1 analia sijui. Sema kadi zilitawala sana. Halafu hawa Argentina hawajui kupiga penati. Hii mara ya pili
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Messi amekuwa msaada kwetu aisee. PNC 1 analia sijui. Sema kadi zilitawala sana. Halafu hawa Argentina hawajui kupiga penati. Hii mara ya pili
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Habari bila picha hainogi hahaaaaa sijawahi kuona penati kama aliyopiga leo popote dunia hata ya Samatha nzuri