Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Messi amekuwa msaada kwetu aisee. PNC 1 analia sijui. Sema kadi zilitawala sana. Halafu hawa Argentina hawajui kupiga penati. Hii mara ya pili

Tatizo watu hawajui kuwa Messi yupo cursed kwenye international cup hadi kuisha kwa career yake hawezi beba international cup [emoji41] [emoji41]

Siku hizi wengi tu penati zinawashinda

Messi bora uumpe free kick ya 40m lakini si penati [emoji125] [emoji125]
 
Yeye ndo ameanza halafu amekosa penati ndo captain sasa. Chile wanataka sifa sasa.

Kama amekosa hili sidhani kama atakuja kuchukua tena international cup. Mtu chozi hilo
 
Yeye ndo ameanza halafu amekosa penati ndo captain sasa. Chile wanataka sifa sasa.

Kama amekosa hili sidhani kama atakuja kuchukua tena international cup. Mtu chozi hilo
Yaaan kazi yoote alo fanya imeonekana hamna
 
Jana kina maestro wakikuwa wana nikera

Eti ana karibia kuwa mchezaj bora wa mda wote

Kwa kutwaa kopa [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
Wale nao ushabiki mwingi. Tuone Leo watasemaje.

Ila Vargas anapiga mpira yule jamaa basi tu
 
Nitajaribu kuwasikiliza baadae
Ila nawalaani Argentina kwa kushindwa kuwa mabingwa

Timu ya taifa hainunuliwi, ina kusanywa na kupata mkusanyiko mzuri ni kazi kweli sasa

Timu ina aguero, messi na higuain wana kosaje ubingwa hata wa centenario!!!
 
Ila nawalaani Argentina kwa kushindwa kuwa mabingwa

Timu ya taofa hainunuliwi, ina kusanywa na kupata mkusanyiko mzuri ni kazi kweli sasa

Timu ina aguero, messi na higuain wana kosaje ubingwa hata wa centenario!!!
Banega otamendi biglia. Huu Ndo mpira aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…