Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Aaaah
Kwa kweli nime wadis wanapaswa hata kuto onewa huruma

Higuani leo kampa bravo umaarufu

Unakosaje goli kivile

[emoji23]
Argentina wanapenda sana kumtoa kafara higuian hapo lawama zote zitakuja kwake
 
Eeh
Ila huku kopa

2015
Chile -Argentina

206
Argentina - Chile
Spain alicheza finalist tofauti. Huyu Argentina kapigwa mara mbili na Chile tena miaka miwili mfululizo. Noma sana hii
 
Haya Italy all the way to robo fainali,hivi baloteli anaangalizia wapi euro 2016 jamani?
 
Wataliano safari imewakuta leo na mchezo wao wa kupaki bus na kutegemea counter attack.
hahahahahaha,ngoja tuone gemu,labda kwa matuta ambapo watamuingiza Casillas awaokoe,ila kwa dakika 90,ADIOS HISPANIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…