Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waache wapotee. Tusubirie euro baadae hapo itakuaje[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hakuna mtu atakaye wakumbuka losers wana jipoteza kwenye historia
NaaamWaache wapotee. Tusubirie euro baadae hapo itakuaje
Hivi Spain hakuchukua back to back euroNaaam
Ngoja turud kwenye mashindano ambayo huwez rudia fainal kila mwaka
Alichukua ila alimfungaHivi Spain hakuchukua back to back euro
Argentina wanapenda sana kumtoa kafara higuian hapo lawama zote zitakuja kwakeAaaah
Kwa kweli nime wadis wanapaswa hata kuto onewa huruma
Higuani leo kampa bravo umaarufu
Unakosaje goli kivile
[emoji23]
Hapana leo inatakiwa messi aongeze kwa lawamaArgentina wanapenda sana kumtoa kafara higuian hapo lawama zote zitakuja kwake
2008 alichukua nani?Alichukua ila alimfunga
Ujeruman, baaday italy
Hii ndo back to back2008
Spain 1-0 Germany
2012
Italy 0-4 Spain
EehHii ndo back to back
Spain alicheza finalist tofauti. Huyu Argentina kapigwa mara mbili na Chile tena miaka miwili mfululizo. Noma sana hiiEeh
Ila huku kopa
2015
Chile -Argentina
206
Argentina - Chile
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na kamejistaafisha .... ila so sad nitaka-miss kweli [emoji24] [emoji24] [emoji24][emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
Kahuni kweli kame i cost tim this time
2008
2012
Italy 0-4 Spain
hahahahahaha,ngoja tuone gemu,labda kwa matuta ambapo watamuingiza Casillas awaokoe,ila kwa dakika 90,ADIOS HISPANIAWataliano safari imewakuta leo na mchezo wao wa kupaki bus na kutegemea counter attack.