Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Hapa tutakuwa tunajadili kuanzia kuelekea, kufanyika na kuhitimishwa kwa mashindano maarufu ya soka duniani maarufu kama EURO




















 
Sipati picha pale kati timu ya Croatia itakuwaje!!! Hapa Modric pale Rakitic!!! Halafu pale mbele kasimama Mandzukic.....
 
Utamu wa euro huuuu ukiukosa subiria kusimuliwa
 
Kwa wenye king'amuzi cha Azam watapata uhondo kupitia ZBC 2 na KTN
 
Sijajua haswa ila ninachojua ni kwamba wataonyesha michuano hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…