barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Hii timu huwa ni ya kwenye magazeti.Mkuu utabiri wako umetimia
Kuweka rekodi sawaAhahahaa... kwa hiyo hao wa mwaka 1966 ndio walifanya uchaguzi mzuri sio?
Ila kitu kma mwaka 1994 walifika robo fainali ya world cup, hivyo hata hao walioshabikia mwaka huo hawakukosea saaana kuichagua hiyo tem. Kimavi kipo kwa hawa wa miaka hii timu mbovu na bado ina gundu.
Argentina football team captaincy.JOB VACANCIES:
- UK prime minister
- leader of the opposition
- England football manager
required ASAP as the country is falling apart
Kweli everything is possible under the sun
Kila timu huwa na era yao Spain era yao ilishaisha tangu walivyofungwa kwa aibu kule BrazilMi nasikitika La Roja kwenda nyumbani mapema lakini namlaumu Del Bosque kwa kukariri mpira maana mi naona hana jipya. Kikosi alichobeba nacho World Cup na EURO12 ni kilekile cha 2008 kilichoundwa na Luis Aragones. Wale wachezaji wamezeeka na yeye akili imezeeka anashindwa kutengeneza Kikosi chenye adabu pamoja na talent zote zilizojaa Spain. Maana kakariri mpira wa Aragones iliyobaki sasa hivi anagandamizia kwenye media. Mi nikimuona kocha anayepangiwa kikosi na media naona kashindwa. Mfano how come humwache nje ya kikosi mtu kama Carvajal.
We ndo umemalizaKila timu huwa na era yao Spain era yao ilishaisha tangu walivyofungwa kwa aibu kule Brazil
FYI -Carvajal aliumia kwenye fainali ya Champions league na atakosa pia mwanzo mwa msimu ujao
Basi ni 2002 ndio walifika robo fainalKuweka rekodi sawa
1994 England hakufuzu World Cup!!
Ingawa nimeacha kushabikia mpira wa nyumbani ila kwa hili halitatokeaUsishangae Yanga ikichukua ubingwa wa Africa
nan anawalipaWenzio wanalipwa kwa utabiri.
nan anawalipaWenzio wanalipwa kwa utabiri.
nan anawalipa