Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Ahahahaa... kwa hiyo hao wa mwaka 1966 ndio walifanya uchaguzi mzuri sio?

Ila kitu kma mwaka 1994 walifika robo fainali ya world cup, hivyo hata hao walioshabikia mwaka huo hawakukosea saaana kuichagua hiyo tem. Kimavi kipo kwa hawa wa miaka hii timu mbovu na bado ina gundu.
Kuweka rekodi sawa

1994 England hakufuzu World Cup!!
 
JOB VACANCIES:
- UK prime minister
- leader of the opposition
- England football manager
required ASAP as the country is falling apart
 
#Drinkwater sijui kacheka sijui kalia??Aliyegundua kura zipigwe kwenye sanduku la siri alitumia akili zingekua wazi kama mpira tungeona mengi...ngoja nisubirie #EPL tu pale august makocha wa kila mbinu #kupaki,tiktak,longball,physic game itakua tamu..
 
Lolote hutokea katika Football, ndo maana tunaipenda: Teja kamla Bingwa mtetezi na timu ya malkia kaliwa na kibonde.
 
Mi nasikitika La Roja kwenda nyumbani mapema lakini namlaumu Del Bosque kwa kukariri mpira maana mi naona hana jipya. Kikosi alichobeba nacho World Cup na EURO12 ni kilekile cha 2008 kilichoundwa na Luis Aragones. Wale wachezaji wamezeeka na yeye akili imezeeka anashindwa kutengeneza Kikosi chenye adabu pamoja na talent zote zilizojaa Spain. Maana kakariri mpira wa Aragones iliyobaki sasa hivi anagandamizia kwenye media. Mi nikimuona kocha anayepangiwa kikosi na media naona kashindwa. Mfano how come humwache nje ya kikosi mtu kama Carvajal.
 
Kweli everything is possible under the sun

a14aee42a84961fb103e454f601d0c8e.jpg

Usishangae Yanga ikichukua ubingwa wa Africa
 
Mi nasikitika La Roja kwenda nyumbani mapema lakini namlaumu Del Bosque kwa kukariri mpira maana mi naona hana jipya. Kikosi alichobeba nacho World Cup na EURO12 ni kilekile cha 2008 kilichoundwa na Luis Aragones. Wale wachezaji wamezeeka na yeye akili imezeeka anashindwa kutengeneza Kikosi chenye adabu pamoja na talent zote zilizojaa Spain. Maana kakariri mpira wa Aragones iliyobaki sasa hivi anagandamizia kwenye media. Mi nikimuona kocha anayepangiwa kikosi na media naona kashindwa. Mfano how come humwache nje ya kikosi mtu kama Carvajal.
Kila timu huwa na era yao Spain era yao ilishaisha tangu walivyofungwa kwa aibu kule Brazil
FYI -Carvajal aliumia kwenye fainali ya Champions league na atakosa pia mwanzo mwa msimu ujao
 
Kila timu huwa na era yao Spain era yao ilishaisha tangu walivyofungwa kwa aibu kule Brazil
FYI -Carvajal aliumia kwenye fainali ya Champions league na atakosa pia mwanzo mwa msimu ujao
We ndo umemaliza
Hakuna timu itashnda milele

Muda wa spain kuanguka ndo huu
 
Out of topic: Messi,Mascherano,Aguero faked retirement so that Higuain would join them, then they'd return & close the door.
 
Back
Top Bottom