Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Italy wao loyal sana na nchi yao..
Wana kamfumo flani ivi tofauti na nchi nyingine.. hawapigi kelele kwenye midia na wanashinda usipotarajia na hata wakifungwa hawalalamikiani nawapenda kwa kweli..
Tatizo lao kwa sasa hawana straika ambaye ukijichanganya tu kakutundika labda insigne wa lazio..
pelle wa soton mzito kidogo
Giovinco sijui aliishia wapi
De rossi wa villareal tuombe mungu awe fiti apige kazi maana anajua sana..
Na nimesikia wanataka wamrudishe babu totti..
Go italia.. finno alla forza
 
Deschamps needs drugs check up...

Gignac na giroud ahead of lacazette and gameiro ambao wote wamekua na msim mzur zaid..ben arfa is best player in french league this season but has been left out...

Umtiti ameachwa amebebwa mathews
 
Didier Deschamps ( DD ) ni jipu
 
Ndugu acha dharau basi. Mashindano haya lazima England waoneshe maajabu just wait and see. Hao Wilshire na Walcott wanapigwa panga tu
Englanda hamna kitu pale, debe tupu kelele nyingi sana wanazo! Wakifika fainali euro hii jua litatokea kusini.
 
Back
Top Bottom