Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Watakaoonesha ni ZBC2 na sio ZBC. Hiyo ZBC2 ipo katika startimes??Zbc ipo startimes hivyo wataonesha tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakaoonesha ni ZBC2 na sio ZBC. Hiyo ZBC2 ipo katika startimes??Zbc ipo startimes hivyo wataonesha tu
Dah ni kweli mkuu, lakini Italy ya miaka ya karibuni imepotea sanaitaly hata wakibeba makapi. mashandano ya timu za taifa lazima asumbue...
germany na italy ndio european giants wa miaka yote...
Mashindano yatakuwa muda kwa saa za kwetu?Maandalizi yamekamilika kwa 100%
Belgium hawa
![]()
Mechi ya ufunguzi ni saa 4 usiku, japo baada ya hapo kutakuwepo na mechi za jioni kwa siku zitakazo fataMashindano yatakuwa muda kwa saa za kwetu?
azam tvWatakaoonesha ni ZBC2 na sio ZBC. Hiyo ZBC2 ipo katika startimes??
Ok asante kwa taarifa mkuu.Mechi ya ufunguzi ni saa 4 usiku, japo baada ya hapo kutakuwepo na mechi za jioni kwa siku zitakazo fata
Ya wapi?Tanzania
Mkuu ya Girroud wapi na midevu yakeStyle za nywele kwa baadhi ya mastaa watakaoshiriki Euro 2016
![]()
England sawa na Wenger bora hata uje ItalyENGLAND,FRANCE ,GERMANY
Yaan badala wawepo kwny copa america wapo euroLegendary in Paris
![]()