Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,076
Xhaka vs Xhaka [emoji123] [emoji123] [emoji123]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi tunafaidi Copa AmericaSisi wa startimes ndo imekula kwetu...
Copa America usiku wa manane halafu haina mvuto kama euroSisi tunafaidi Copa America
England inatarajiwa kucheza mtindo unaitwa Diamond ambapo kunakuwa na wachezaji wanne nyuma watatu katikati na watatu mbele.
Hivyo Rooney, Deli Ali na Adam Lallana watakuwa wakishirikiana vema na Hary Kane, Raheem Streling kule mbele.
![]()
Ila Russia nao wana wachezaji wenye uzoefu mkubwa lakini wakiwa wazee kama mapacha wawili Aleksei na Vasiliy wenye umri wa miaka 33 na kiungo Sergei Ignashevich mwenye umri wa miaka 36.
Diamond yupi, huyu huyu wa kiduku?
Ningekuwa Kocha Wa England, Starege Angeanzia Benchi Maana Show Nyingi Mpira Si Kivile.England inatarajiwa kucheza mtindo unaitwa Diamond ambapo kunakuwa na wachezaji wanne nyuma watatu katikati na watatu mbele.
Hivyo Rooney, Deli Ali na Adam Lallana watakuwa wakishirikiana vema na Hary Kane, Raheem Streling kule mbele.
![]()
Ila Russia nao wana wachezaji wenye uzoefu mkubwa lakini wakiwa wazee kama mapacha wawili Aleksei na Vasiliy wenye umri wa miaka 33 na kiungo Sergei Ignashevich mwenye umri wa miaka 36.
![]()
Mkuu ni mfumo wa uchezaji wa timu unaitwa hivyo
lol
Ukiangalia huo mfumo, wachezaji wa kiungo namba 6, 7 10 na 8 wanaunda umbo la Diamond.
Namba 6 anacheza kama DM na analinda back four na namba 10 anakuwa kishughulika kama AM ambayo kwa England atakuwa Wayne Rooney akiwasaidia washambuliaji namba 11 na 9.
Ndio maana Wayne Rooney anatumiwa kutafuta nafasi kwa kusaidia kuchukua mipira kutoka eneo lake na kuipeleka kwa washambuliaji wake na wakati huohuo akiweza kufunga kama anapata nafasi.
Namba 8 na 7 Deli Ali na Adam Lallana watakuwa wakilinda shemu ya kati wakiwa nyuma ya namba 11 na 9.
Jamie Vardy ataanzia bench.
Mkuu kila team siku hizi inacheza mtindo huo. Mpira umekuwa diffensive sana kuliko miaka ya nyuma. Kwa mtindo huo timu itakayokuwa na kiungo mahili na forward inayoweza kupokea mipira na kupenya ndio itakayoshinda. Au magoli yapatikane kwa counter attack
.Kwahiyo usitoe maelezo mengi kama England wanakuja na jipya. La hasha