Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Uzuri na historia inatubeba

Nine of the last 13 goals in games between Germany and Ukraine have been scored before half-time.

Germany have never lost their opening game at the Euros (W6 D5).
Tuko vizuri!! Show ya kibabe lazma ipigwe japo nina mashaka na hujuma za Tanesco
 
d2733f1970e22e86a7a0dd209c2a88b1.jpg


b961c353d9848b8068e712824bdfd28b.jpg


f512652b73eec81e236b1b604d296fbe.jpg


a5965be42a8ce0863387bfd5b82a595e.jpg


a3ecf6c31810974af2e662fae2544021.jpg
 
Mimi timu iliyo na wachezaji wa Barcelona ndiyo itakayotwaa ndoo na jambo la kujivunia Barcelona haina mchezaji Muingereza wala Mreno maana hz timu mbili ni washiriki haswahaswa huyo vuvuzela England aliyejaza wachezaj kibao wa man u ambao sifa za media 90% uwezo wa huyo anayepewa sifa 10%
Ccm watafanya vizuri
 
Back
Top Bottom