Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
- Thread starter
- #821
England na Ureno ndugu moja, mama mmoja, baba mmoja ila tumbo tofauti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani huyo mmoja kazidiwa vyombo vya habari tu aiseee...jana nimepoteza muda wangu bure kutazama wajukuu wa vasco da gama...hawana tofauti na marehemu babu yao vasco da gama yeye kiguru na njia tuEngland na Ureno ndugu moja, mama mmoja, baba mmoja ila tumbo tofauti.
Mkuu naona unatembelea nyota ya Paul the octopusNaambieni nyie!Russia WASIJIDANGANYE kama wataenda chukua points 3 waondoke nazo kwa Slovakia!Duda anaweza ifunga team yyt hapa duniani!
Mtaniambia!
#Embolo kama sikosei ni mswisi ila ana #kaukameroon flani iviiMajina mengine bwana kuna mchezaji wa Swiss anaitwa Embolo
Yaani acha tu,umenikumbusha Deco,yaani jana kina Ureno walichemka,mpira wa leo mkali ila tusubiri dakika 90nimewamiss jamaa zangu #Wagiriki sana #EURO 2004 mpaka anabeba kombe kila mtu anayekutana naye anakula #mojamoja tu...#kama ureno hakubeba #ndoo zama zile #figo #deco #nuno gomez sidhani kama atabeba ndoo tena...ngoja tumwangalie #payet akifanya yake sasa
#Payet naye ajengewe mnara pale #Paris nn[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Huyu MTU wa kuitwa payet aisee ni shida.
West Ham huenda wakamkosa msimu ujaoPayet ni beaSt, anacheza hatari