Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
- Thread starter
- #1,421
Naona umefurahi sana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona umefurahi sana mkuu
Ila ongea ukweli Ronaldo kacheza nini jana?We tunakufaham mbona
Waache huo upuuzi mara moja.Alaf wanamlinganisha na mfalme jamani sikumkosea heshima jamani
Goli lilikua rebound ya nan?Ila ongea ukweli Ronaldo kacheza nini jana?
Nazungumzia overall performanceGoli lilikua rebound ya nan?
Hahaha kabisaWapi timu figisufigisu hahaaa CR7 robo tayari nusu fainali ileeeee .... final yetu kabisa hii
portugal anaweza chukua kombe hivi hivi kiutani utani mi nilijua jana lazima washindeHahaha kabisa
Mdogo mdogo tu mara final hii hapaportugal anaweza chukua kombe hivi hivi kiutani utani mi nilijua jana lazima washinde
Kwa wapenzi wa beautful football haitakua jambo zuri ikiwa hivyoportugal anaweza chukua kombe hivi hivi kiutani utani mi nilijua jana lazima washinde
Kama ambavyo PNC 1 anavyo muombea mabaya CR7 basi na mimi naungana na roho mbaya zote kesho Chile wachukue kombe Messi atoke patupu [emoji12] [emoji12] .... #CR7 all the way up [emoji41]Hahaha kabisa
Ni kweliNa hata Portugal pamoja na kuwa na Ronaldo hawakutegemea kuifunga Croatia na pia kuwemo kwenye nane bora. Ndiyo sababu wamefurahi sana. Portugal inaweza kabisa kuwa surprise team of the tournament kwa kufika kule ambapo wao wenyewe hawakutarajia kufika na hata football analysts hawakutegemea wafike huko.
Nazungumzia overall performance
Waache huo upuuzi mara moja.
Haters gonna hate, we know emIla ongea ukweli Ronaldo kacheza nini jana?
Mpira matokeo mambo ya anao anao mwisho wa siku mmefungwa hayana maanaNazungumzia overall performance
Kiteteo chetu kitakuwa tuliathiriwa na mvua ya kwenye game ya mwisho hivyo tulicheza na kichomi [emoji41] [emoji41] .... hakuna siku nitakayo kuwa na furaha kama kesho Argentina akikosa kombeMi hata tufungwe niko chile na ntatafuta namna ya kuitetea
Tusubirie dakika 90 tuMnajidanganya
Ni kweli
Wana sema ni timu ya kwanza kufika robo fainali bila kushinda mechi hata moja kwenye regular 90 minutes