Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Na hata Portugal pamoja na kuwa na Ronaldo hawakutegemea kuifunga Croatia na pia kuwemo kwenye nane bora. Ndiyo sababu wamefurahi sana. Portugal inaweza kabisa kuwa surprise team of the tournament kwa kufika kule ambapo wao wenyewe hawakutarajia kufika na hata football analysts hawakutegemea wafike huko.
Ni kweli
Wana sema ni timu ya kwanza kufika robo fainali bila kushinda mechi hata moja kwenye regular 90 minutes
 
Ni kweli
Wana sema ni timu ya kwanza kufika robo fainali bila kushinda mechi hata moja kwenye regular 90 minutes

Portugal ndio timu pekee kuingia robo fainali ya mashindano kwa mara sita mfululizo. They set a record already. Na ukiangalia fixture utaona wale vigogo wote wako upande mwingine kwahiyo hawa jamaa usishangae kwa kusuasua lakini wakfika mbali.
 
Back
Top Bottom