Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Huyu refa hana mchezo,duh katowa kadi nyekundu,hawa wachezaji wanatakiwa wawe makini
 
Umeona 27a side Game ya Mpira Kana huko Italy jana wamekumbukia mwaka 1574 mpira kutoa unavu mmoja kupeleka kwengine kwa Makonde hakuna Diving, hii ndio Sports ya kwenda kutizama
 

Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    12.4 KB · Views: 21
  • image.jpeg
    image.jpeg
    74.9 KB · Views: 21
  • image.jpeg
    image.jpeg
    48 KB · Views: 20
Dah! Watanzania wenye asili hiyo ni wachache sana, wengi walisharudi kwao. Mechi hii nitaiangalia kwa ushabiki tu hawa Ujerumani siwafagilii.

Haya wale watanzania wenye asili ya slovakia Tutambuane kabisa.
 
Maajabu Mjerumani kakosa Penalt ah ila sababu ugonjwa wa katimu flani kapata cha kukosa Penalt Ujerumani wanacheza Basic Football!
 
Ivi #William Calvaro holder midfielder wa jana ureno ako na miaka mingapi??
 
Back
Top Bottom