Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

The capt.

All the way up

a410836c604d73cb89fcdffc5bc2dacb.jpg
 
Soka kama hujui hujui,hakuna bahati kwenye soka.Unamtoa Carrasco unamuingiza Fellaini then unasingizia bahati ?

watu wamepigwa na chile mastaa wote wa argentina ndani mpira kina muda unakwenda na bahat sio kuujua tu
 
Kwa hiyo ubelgiji mpira hawajui? Basi fifa waongo na rank zao za soka kumbe tanzania nafas tuliyopo sio yetu

Hizo rank ni upuuzi tu hata England wapo top ten,assesment kubwa inafanywa kwenye mechi za kirafiki ambazo hazina umuhimu.So far Chile na Argentina ni timu bora kuliko hao vibonde Belgium
 
Hizo rank ni upuuzi tu hata England wapo top ten,assesment kubwa inafanywa kwenye mechi za kirafiki ambazo hazina umuhimu.So far Chile na Argentina ni timu bora kuliko hao vibonde Belgium

Argentina ya 1, Belgium ya 2, Chile ya 5 na England ya 11
 
Kweli mpira Umoja ni Nguvu! kujiamini na kuamua na iwe iwe tu ila Mkiende kwa sifa za majina siku hizi mnapigwa Ubaya, Iceland na Wales new Leicester or Greece ?
 
Ghafla Wales kabeba Euro 2016.

Je Fifa watampa Gareth Bale Ballon D'ior?

Maana atakuwa ameipa taji timu ya taifa na klabu pia kaipa taji la ligi ya mabingwa.
Ballon D'ior haingalii sana hilo..Wanaangalia individual perfomance. Messi na Ronaldo individual perfomance zao ziko juu kuliko Bale. Anaweza akaingia top 3.
 
Natizama TV Mashabiki wa Wales kwenye viwanja vya nchini kwao Watu wanarushiana Maji Maji ya Beer juu ila sio mtu Kurusha simu yake tehtehteh! mtu anaweza kushangilia akaachia Glass ila sio Smartphone.
 
Hizo rank ni upuuzi tu hata England wapo top ten,assesment kubwa inafanywa kwenye mechi za kirafiki ambazo hazina umuhimu.So far Chile na Argentina ni timu bora kuliko hao vibonde Belgium

Haya bana kumbe tz tunaweza kuwa juu ya nigeria na ghana au ivory cost tunafanyiwa figisu figisu
 
Back
Top Bottom