Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Team Azzuri.game la leo ngumu kuitabiri japokuwa history ina wa favour sana italy ila german ipo vizuri hasa nikikumbuka game yao mwisho german waliifunga italy 4-0 friend match. Mpira sio kutegemea history bali ni game plan. Kama leo german akidhibitiwa na italy na kutolewa nje nitafurahi sana. Forza italy
 
Ki historia Italy ndo favourable kweli
Lakin niko Ujerumani bado
 
Daaah
Hii sasa shida

Unaona hapa. Semifinal, Portugal anapigwa na Wales. Game ya leo I don't care anyone can win. Kesho France wanatolewa na Iceland na kitakachofuatia kwenye semi nyingine Dunia itasimama.

13533123_1257122174312540_7270224869750617999_n.jpg
 
Back
Top Bottom