Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ngumu,maana huu upande wanaofungia Germany ni mteremko flaniMpira ddk 90..Lets wait. Ila German wana moto.
Mi mwenyew sja muelewa kwa kweliGomez amekosaje pale!!
halafu huu upande ni rahisi kufungia goli,maana kuna kamremko flani,tatizo italy wao walishindwa kuitumia nafasi ya position ya goal kipindi cha kwanza
Mbona naona kama uwanja uko sawa tu..Au direction imekaa vizuri kwakoNi ngumu,maana huu upande wanaofungia Germany ni mteremko flani
Mkuu Mfumo wa 3-5-2 unakuchanganya na pengine huujui vizuri.Centre backs ni Chiellini na Florenzi
Gomez amekosaje pale!!
Hahaha mkuu yule gomes nigongeshe liingie sio fighterMi mwenyew sja muelewa kwa kweli
huwezi kugundua,ndo maana huwa wanabadilishana upande.Una makengeza nini au TV yako imeinama kushoto kwako hahaaaa
Buffon nilidhani ni kipa kumbe ni center back... Let's go...Mkuu Mfilumo wa 3-5-2 unakuchanganya na pengine huujui vizuri.
Mabeki watatu wa kati ambao ni Buffon, Barzagli na Chiellini.
Wingback ambao ni Florenzi na De Sciglio.
Viungo watatu ambao ni Parolo, Sturaro na Giacherinni.
Washambuliaji wawili ambao ni Eder na Pelle.
Ndo imetoka hii,kurudisha ni ndoto
Upo sawa ndiyo ila kwa asilimia 99.99Mbona naona kama uwanja uko sawa tu..Au direction imekaa vizuri kwako
Mkuu hapo kwa mabeki 'BBC' ni Bonucci na sio Buffon.Mkuu Mfumo wa 3-5-2 unakuchanganya na pengine huujui vizuri.
Mabeki watatu wa kati ambao ni Buffon, Barzagli na Chiellini.
Wingback ambao ni Florenzi na De Sciglio.
Viungo watatu ambao ni Parolo, Sturaro na Giacherinni.
Washambuliaji wawili ambao ni Eder na Pelle.