Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

halafu huu upande ni rahisi kufungia goli,maana kuna kamremko flani,tatizo italy wao walishindwa kuitumia nafasi ya position ya goal kipindi cha kwanza

Una makengeza nini au TV yako imeinama kushoto kwako hahaaaa
 
Centre backs ni Chiellini na Florenzi
Mkuu Mfumo wa 3-5-2 unakuchanganya na pengine huujui vizuri.

Mabeki watatu wa kati ambao ni Bonucci, Barzagli na Chiellini.

Wingback ambao ni Florenzi na De Sciglio.

Viungo watatu ambao ni Parolo, Sturaro na Giacherinni.

Washambuliaji wawili ambao ni Eder na Pelle.
 
Mkuu Mfilumo wa 3-5-2 unakuchanganya na pengine huujui vizuri.

Mabeki watatu wa kati ambao ni Buffon, Barzagli na Chiellini.

Wingback ambao ni Florenzi na De Sciglio.

Viungo watatu ambao ni Parolo, Sturaro na Giacherinni.

Washambuliaji wawili ambao ni Eder na Pelle.
Buffon nilidhani ni kipa kumbe ni center back... Let's go...
 
Naam na hawa Ujerumani wakiwa mbele ni wazuri sana katika kuhakikisha wanawafrustrate wapinzani na kuwaweka mbali na goli lao, lakini bado Italy wana muda angalau wakuweza kusawazisha kama watatulia.

Ndo imetoka hii,kurudisha ni ndoto
 
wachezaji wa italy kimo (ufupi) unawaangusha hasa viungo na mawinga.
 
Mkuu Mfumo wa 3-5-2 unakuchanganya na pengine huujui vizuri.

Mabeki watatu wa kati ambao ni Buffon, Barzagli na Chiellini.

Wingback ambao ni Florenzi na De Sciglio.

Viungo watatu ambao ni Parolo, Sturaro na Giacherinni.

Washambuliaji wawili ambao ni Eder na Pelle.
Mkuu hapo kwa mabeki 'BBC' ni Bonucci na sio Buffon.
 
Back
Top Bottom