Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
Mkuu Mfumo wa 3-5-2 unakuchanganya na pengine huujui vizuri.
Mabeki watatu wa kati ambao ni Bonucci, Barzagli na Chiellini.
Wingback ambao ni Florenzi na De Sciglio.
Viungo watatu ambao ni Parolo, Sturaro na Giacherinni.
Washambuliaji wawili ambao ni Eder na Pelle.
Hata, wala sichanganyi na nipo sawia kabisa nafuatilia.
Italy walianza game na mtindo wa 4-3-2-1 pelle akiwa mbele peke yake, halafu wakabadilisha na kuwa 3-5-2.
Hivyo uko sawa ni Florence na de Sciglio ndio wing backs.
Mimi nilikuwa namaanisha mabeki wa pembeni ambao ni Bonucci na Bazagli ambao walikuwa wakizuiwa na Germany kupanda mbele hapo mwanzo na kubadilisha mtindo kuwa 3-5-2.
Upo sawa mkuu.